Habari

Mhe.Malata: Dumisheni Amani, Upendo Na Mshikamano

Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wametakiwa kuendelea kufanya kazi kama familia moja, huku wakiendelea kudumisha upendo, Amani na mshikamano miongoni mwao hatua itakayowasaidia kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 26, 2019

Tumiemi mifumo ya Tehama kutatua changamoto zilizopo

Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wametakiwa kuzingatia matumizi bora ya Tehama ili waweze kukabiliana na changamoto wanazokutana nazo hatua itakayosaidia kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 15, 2019

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali awapa somo Mawakili wa Serikali

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Mhe. Gabriel Malata ametoa wito kwa Mawakili wa Serikali kuendelea kujibidisha katika kujisomea machapisho mbalimbali ya kisheria kwa lengo la kujiongezea uwezo juu ya mambo mbalimbali yanayoihusu kada ya sheria.... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 07, 2019

​Dkt Possi: Mafunzo kwa vitendo yapewe kipaombele kwa Watumishi

Aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi, amewaomba viongozi wa Ofisi ya wakili Mkuu wa Serikali kulipa kipaombele suala wa mafunzo kwa vitendo kwa watumishi wa ofisi hiyo hasa watumishi wa kada ya sheria ili waweze kutimiza majukumu yao kwa weledi. ... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 22, 2019

Fanyeni kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za utumishi wa umma

Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wametakiwa kufanya kazi kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma, hatua itakayo wasaidia kutekeleza majukumu yao kwa weledi. ... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 04, 2019

Msiwe kikwazo kwa watumishi walio chini yenu

Wajumbe wa Menejimenti Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wameaswa kutokuwa kikwazo wa watumishi walio chini yao, hatua itakayosaidia watumishi hao kutekeleza majukumu yao kwa wakati.... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 04, 2019