Kanusho
Kanusho
Tunatoa huduma kwa taasisi za Serikali na pale ambapo Serikali ina maslahi, baadhi yake yakiwa nje ya udhibiti wetu.
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) inahakikisha ubora wa huduma kwa kuzingatia utaalamu, uwajibikaji, uadilifu, uaminifu, kutoa huduma bila upendeleo na uhuru.