Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Dira na Dhima

Dira

Kuwa Ofisi mahiri ya umma ya kusimamia na kuendesha mashauri ya madai na usuluhishi yanayohusu Serikali.

Dhima

Kuratibu, kusimamia na kuendesha mashauri ya madai na usuluhishi kwa niaba ya Serikali kwa ufanisi na weledi wa hali ya juu.