Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Hotuba ya mgeni rasmi baraza la wafanyakazi wa OWMS Morogoro 17 Aprili 2024

24 October, 2024 Pakua

Hotuba ya mgeni rasmi Mhe. Jumanne Abdallah Sagini (Mb.) na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria katika ufunguzi wa mkutano wa pili wa baraza la pili la wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24 iliyotolewa katika ukumbi wa mikutano wa NSSF, mkoani Morogoro Aprili 19, 2024.