Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ilianzishwa lini?

Serikali kupitia Amri ya Kuundwa kwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu (Kanuni za Uanzishaji), 2018 (Tangazo la Serikali Na. 50 la 2018) iliundisha upya Ofisi ya Wakili Mkuu wa serikali mwaka 2018.