Hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa OWMS 19 Aprili 2024
Hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa OWMS 19 Aprili 2024
24 October, 2024
Pakua
Hotuba ya Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende, katika kikao cha pili cha baraza la pili la wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, katika ukumbi wa mikutano wa NSSF, mkoani Morogoro 19 Aprili, 2024