Missioon and Vission
Dhima:
Kuendesha Madai ya Mashauri ya Upatanishi, Usuluhisho na Mashtaka mengine ya kiraia kwa ufanisi na kiutaalam kwa niaba ya Serikali.
Dira:
Kuwa Ofisi Mahiri ya Umma ya Kuendesha kesi na Mashauri ya Madai yanayoihusu Serikali.