Habari

Imewekwa: Feb, 04 2019

Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Clement Mashamba alipomtembelea Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

News Images

Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Clement Mashamba alipomtembelea Mhe. Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 4 Februari, 2019 Mjini Dodoma. Pamoja na Mhe. Spika (aliyesimama katikati), Kushoto ni Bw. Stephen Kagaigai (Katibu wa Bunge).