Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amekabidhi kompyuta mpakato (laptop) 30 kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Mhe. Dkt. Ally Possi, katika hafla fupi iliyofanyika leo, Agosti 27, 2025, katika ukumbi wa Wizara hiyo uliopo Mji wa Serikali, Mtumba – Dodoma.
Soma zaidiOfisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imeendelea kutumia Maonesho ya Nanenane kutoa huduma ya msaada wa kisheria kwa wananchi na wadau wake hatua ambayo imesaidia kwa kiasi kikubwa kusogeza huduma karibu na wananchi na wadau wake.
Soma zaidiNaibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na Mawakili wa taasisi za Serikali na wa Ofisi yake alipokuwa ziarani kukagua utendaji kazi wa Mawakili hao mkoani Shinyanga.
Soma zaidiOfisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) yapunguza gharama kwa wadau wa karibu ya kupata ushauri mbali mbali wa kisheria kwa wadau ambao wamekuwa wakisafiri umbali mrefu kutoka mkoa wa Tabora kwenda mikoa mingine kupata ushauri wa kisheria.
Soma zaidiMahakama ya Tanzania imeipongeza Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa kufungua Ofisi kwenye mkoa wa Manyara ili kusogeza huduma karibu na wadau na wananchi ya uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi kwa niaba ya Serikali na taasisi zake.
Soma zaidi