Tanzania emblem

Blogu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

WIZARA YA MAWASILIANO YAKABIDHI KOMPYUTA 30 OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI

WIZARA YA MAWASILIANO YAKABIDHI KOMPYUTA 30 OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
28th Aug 2025

Wakili Mkuu wa Serikali, Mhe. Dkt. Ally Possi (kulia) akifurahia kupokea kompyuta mpakato 30 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ndugu Mohammed Khamis Abdulla kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ambapo makabidhiano hayo yamefanyika leo Wizarani, Mtumba, Dodoma.

Maoni