Tanzania emblem

Blogu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Atembelea Banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Atembelea Banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
08th Jul 2025

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakimu Maswi akipitia Jarida la Wakili Mkuu alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.

Maoni