Wakili Mkuu wa Serikali, Mhe. Dkt. Ally Possi akiwa kwenye kikao na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kabla ya kupokea kompyuta mpakato 30 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ndugu Mohammed Khamis Abdulla kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa Ofisi hiyo kwenye hafla iliyofanyika leo Wizarani, Mtumba, Dodoma.
Maoni