Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo afanya ziara Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Shinyanga.
27th Jul 2025
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na Mawakili wa taasisi za Serikali na wa Ofisi yake alipokuwa ziarani kukagua utendaji kazi wa Mawakili hao mkoani Shinyanga.
Maoni