Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imeendelea kutumia Maonesho ya Nanenane kutoa huduma ya msaada wa kisheria kwa wananchi na wadau wake hatua ambayo imesaidia kwa kiasi kikubwa kusogeza huduma karibu na wananchi na wadau wake.
Soma zaidi
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na Mawakili wa taasisi za Serikali na wa Ofisi yake alipokuwa ziarani kukagua utendaji kazi wa Mawakili hao mkoani Shinyanga.
Soma zaidi
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) yapunguza gharama kwa wadau wa karibu ya kupata ushauri mbali mbali wa kisheria kwa wadau ambao wamekuwa wakisafiri umbali mrefu kutoka mkoa wa Tabora kwenda mikoa mingine kupata ushauri wa kisheria.
Soma zaidi
Mahakama ya Tanzania imeipongeza Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa kufungua Ofisi kwenye mkoa wa Manyara ili kusogeza huduma karibu na wadau na wananchi ya uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi kwa niaba ya Serikali na taasisi zake.
Soma zaidi
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali ametoa rai kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kuongeza usikivu wa masikio yao kwa wadau wanaowahudumia kwenye mikoa 18 ambapo Ofisi hiyo ipo inaendesha mashauri ya madai na usuluhishi kwa niaba ya Serikali na taasisi zake nchini nzima
Soma zaidi