Tanzania emblem

Blogu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

WAKILI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UMOJA WA MAWAKILI VIJANA (AYL)

WAKILI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UMOJA WA MAWAKILI VIJANA (AYL)
31st Jul 2026

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi mkoba wenye nyaraka mbalimbali za Ofisi yake Mwenyeketi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) ndugu Emmanuel Ukashu kuhusu Ofisi hiyo alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Maoni