Wasifu

Mhe.   Gabriel Malata
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali
Mhe. Gabriel Malata

Mhe. Gabriel Pascal Malata, aliteuliwa tarehe 20 September 2019 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali